Wamakonde wa kiume sisi ni MAHANDSOME sana

MTU kama wewe nadindisha na mashine nakupiga
 
Eenh kumbe alijiremba sana hiyo avatar inanitisha insta babe kwanza nilikusahau

aliremba hadi mwandiko πŸ˜‚πŸ˜‚..

avatar isikutishe insta babe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila nilikuwa na plan za kuichange πŸ˜‚ngoja tu niichange now
 
hakika sio kawaida, halafu ameshaanza kutukana watu wasokuwa na hatia baada ya kusema ukweli

hakunaga watu wenye matusi kama wale wanaume tata wanamatusi balaa wale wajamaa...

kwa lugha anazotumia nimeshaanza kuconnect dots na kumjua ni mtu wa aina gani..

angekuwa ni mwenzetu huyu baada ya kupewa ukweli angeenda kuwaomba mods waushushe huu uzi ila yeye anatukana
 
Hahhaha lakini tumsamehe ni mgeni tu akizoea atajishangaa sana

Kwahiyo hii avatar niizoee insta babe
hii usiizoee insta babe kuna nyingine inakuja hyo ndio nakuruhusu uizoee πŸ˜‚πŸ˜‚

hii iogope tu kwakweli
 
Acha kabisa, bora umelitambua hilo maana duuuh watu wana stress balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…