Wamakonde wa kiume sisi ni MAHANDSOME sana

Huyo siyo tajiri sala maskini sababu ni mtoto wa mama ukipenda unaita mboga 7,8 & 9 kachumbari na pilipili ya kung'ata
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba uje utoe list ya watu maskini jf
Na uwagawie wote pesa
 
Mmakonde gani wewe unajisifia uzuri, mtoto wa kiume unajisifia uzuri??
yaani wewe ukikutana na wazee Tandahimba, Chihangu, Liwale au Chikoweti ungepigwa bakora kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…