Wamakonde wa kutokea Kindondoni, Kwale hatimaye wakubaliwa kama kabila la Kenya

Wamakonde wa kutokea Kindondoni, Kwale hatimaye wakubaliwa kama kabila la Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hawa waliletwa kutokea Msumbiji ili kufanya kazi kwenye mashamba ya wazungu halafu wakatelekezwa, muda wote huo wamekua hawatambuliwi kama Wakenya kwenye vitongoji vya Kinondoni, kwale. Hatimaye rais Uhuru amewapokea na baada ya kikao cha baraza la mawaziri, uamuzi ukatolewa kuwapa uraia wote na kuwatambua kama kabila la Kenya la 43.

Hii ni hatua nzuri sana, maana binafsi ilikua inaniuma kuona wazawa Wakenya wakihangaishwa kiasi hiki. Nchi hii tumeijenga sote, na historia inaeleza babu zetu walitoka nchi za mbali na kukusanyika huku. Hivyo tusibaguane ila tuungane na kutambuana kama Wakenya.

Wapewe haki sawa na elimu bora ya Kikenya maana ni Wakenya kamili.


Makonde.jpg

The Makonde Community living in Kenya can now breathe a sigh of relief after the Cabinet passed a resolution to give them nationality.

The community living in coastal parts of the country, mainly Kwale County, have for a long time pursued recognition as Kenyan citizens by the government.
The decision to legally accept their citizenship was reached in the seventh Cabinet meeting on Thursday, October 13, 2016 chaired by President Uhuru Kenyatta.

The community had on Tuesday, October 11, 2016 embarked on a long walk dubbed ‘A walk for the Stateless’ from Kwale County, in South Coast to State House, Nairobi with an aim of airing their predicaments to President Kenyatta.

The Makonde community has on many occasions appeared in the media complaining of being discriminated on account of being ‘illegitimate’ Kenyans.

Their major grievance has been lack of National Identity Cards that among other things has robbed them; suffrage right, employment and access to government services.

The Community was brought into Kenya by British administrators in 1940s to provide labour force in the colonisers’ agricultural fields along the coastal strip.

At the time of independence, in 1963, the Makonde people were not recognised as one of the Kenyan tribes and were, therefore, denied citizenship.
The Constitution of Kenya 2010, the Citizenship and Immigration Act No. 12 of 2011, provide for registration of stateless people living in the country.

However, Makonde have being unable to utilise that opportunity majorly due to lack of supporting documents.

Makonde people have since independence spread out and settled in various parts of the Kenyan Coast including Kwale, Taita Taveta, Lamu and Kilifi counties.
Kenya officially gets the 43rd tribe - Citizentv.co.ke
 
Ni jambo zuri mno muda wa kuwa wamekaa miaka mingi huko..!
 
Back
Top Bottom