Pre GE2025 Wamama CCM wamtandikia vitenge Stephen Wasira asiguse vumbi wakimpokea Vwawa, Songwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Stephen Wasira wilayani Mbozi mkoani Songwe Wana CCM wampokea Stephen Wasira Vwawa, wamama wamtandikia vitenge asiguse vumbi Machi 14, 2025,

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira yuko mkoani humo kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu kuanzia Machi 14 hadi 16, 2025.

Hizi mila za heshima nilitakaga kugoma mimi kuna mila somewhere ukifanya kitu kikubwa sana mwanamke anae appreciate ulichokifanya awe bibi au mama au shangazi unapofika nyumbani kabla ya kuingia ndani analala mlangoni kabla ya kuingia ndani unatakiwa umkanyage na hio hua ni ishara ya juu ya heshima kwako kwamba wewe sio wa kushindwa jambo lolote hata liweje utaenda kupambana popote ila mwisho utarudi ukiwa mshindi, hio heshima niliikata siwezi kumkanyaga mtu alie mlangoni mimi ila wazee wakanihimiza ni lazima niipokee hio heshima ya kimila na kuikataa maana yake umemdharau sana anaekupa hio heshima yaan natakiwa nimkanyage bila kujali anaumia au haumii ndio niingiee ndani
 
Hakuna mila hapo zaidi ya ujinga tupu
 
Ujinga ndio ila ndio tamaduni hivi wale masai wanaotembea uchi huku wamejifunika mashuka mawili ni wajinga?
Yes ni wajinga, unakaa uchi kwa sababu gani? ndiyo maana unakuta masai ana ng'ombe mia 5 lakini anaishi kwenye nyumba ya miti na hakuna faida yoyote ya ile mifugo zaidi ya yeye kugeuka mtumwa
 
Umezaliwa wapi ambako hauna mila na desturi za kwenu?
 
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM
wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Stephen Wasira wilayani Mbozi mkoani Songwe Wana CCM wampokea Stephen Wasira Vwawa, wamama wamtandikia vitenge asiguse vumbi Machi 14, 2025,

Wasira yuko mkoani humo kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu kuanzia Machi 14 hadi 16, 2025.

View attachment 3270032
Ni upendo na heshima ya hali ya juu kwa kiongozi.

Hongera zao.
 
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM
wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Stephen Wasira wilayani Mbozi mkoani Songwe Wana CCM wampokea Stephen Wasira Vwawa, wamama wamtandikia vitenge asiguse vumbi Machi 14, 2025,

Wasira yuko mkoani humo kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu kuanzia Machi 14 hadi 16, 2025.

View attachment 3270032
Hivi hilo V8 ni bei gani?

makangwane-2-use-.jpg

Hivi bei ya V8 na bei ya kujenga Darasa ipi kubwa?
 
Back
Top Bottom