The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Hizi mila za heshima nilitakaga kugoma mimi kuna mila somewhere ukifanya kitu kikubwa sana mwanamke anae appreciate ulichokifanya awe bibi au mama au shangazi unapofika nyumbani kabla ya kuingia ndani analala mlangoni kabla ya kuingia ndani unatakiwa umkanyage na hio hua ni ishara ya juu ya heshima kwako kwamba wewe sio wa kushindwa jambo lolote hata liweje utaenda kupambana popote ila mwisho utarudi ukiwa mshindi, hio heshima niliikata siwezi kumkanyaga mtu alie mlangoni mimi ila wazee wakanihimiza ni lazima niipokee hio heshima ya kimila na kuikataa maana yake umemdharau sana anaekupa hio heshima yaan natakiwa nimkanyage bila kujali anaumia au haumii ndio niingiee ndaniOyee
Hakuna mila hapo zaidi ya ujinga tupuHizi mila za heshima nilitakaga kugoma mimi kuna mila somewhere ukifanya kitu kikubwa sana mwanamke anae appreciate ulichokifanya awe bibi au mama au shangazi unapofika nyumbani kabla ya kuingia ndani analala mlangoni kabla ya kuingia ndani unatakiwa umkanyage na hio hua ni ishara ya juu ya heshima kwako kwamba wewe sio wa kushindwa jambo lolote hata liweje utaenda kupambana popote ila mwisho utarudi ukiwa mshindi, hio heshima niliikata siwezi kumkanyaga mtu alie mlangoni mimi ila wazee wakanihimiza ni lazima niipokee hio heshima ya kimila na kuikataa maana yake umemdharau sana anaekupa hio heshima yaan natakiwa nimkanyage bila kujali anaumia au haumii ndio niingiee ndani
Ujinga ndio ila ndio tamaduni hivi wale masai wanaotembea uchi huku wamejifunika mashuka mawili ni wajinga?Hakuna mila hapo zaidi ya ujinga tupu
Yes ni wajinga, unakaa uchi kwa sababu gani? ndiyo maana unakuta masai ana ng'ombe mia 5 lakini anaishi kwenye nyumba ya miti na hakuna faida yoyote ya ile mifugo zaidi ya yeye kugeuka mtumwaUjinga ndio ila ndio tamaduni hivi wale masai wanaotembea uchi huku wamejifunika mashuka mawili ni wajinga?
Umezaliwa wapi ambako hauna mila na desturi za kwenu?Yes ni wajinga, unakaa uchi kwa sababu gani? ndiyo maana unakuta masai ana ng'ombe mia 5 lakini anaishi kwenye nyumba ya miti na hakuna faida yoyote ya ile mifugo zaidi ya yeye kugeuka mtumwa
Ni upendo na heshima ya hali ya juu kwa kiongozi.Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM
wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Stephen Wasira wilayani Mbozi mkoani Songwe Wana CCM wampokea Stephen Wasira Vwawa, wamama wamtandikia vitenge asiguse vumbi Machi 14, 2025,
Wasira yuko mkoani humo kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu kuanzia Machi 14 hadi 16, 2025.
View attachment 3270032
Huyo chawa ujinga kwake ni kipaji cha kuzaliwa yaani ujinga uko kwenye damu yakeMwanzo nilikuwa najiuliza kwanini Lucas ni mjinga sasa ndiyo nimepata jibu
Hatuna mila za kijinga kama hizi kukanyaga watu mgongoni ni upumbavuUmezaliwa wapi ambako hauna mila na desturi za kwenu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gendaeka linatandikiwa kanga !!!! Kweli huko kuna misukule tu siyo wanawake
Hivi hilo V8 ni bei gani?Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM
wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Stephen Wasira wilayani Mbozi mkoani Songwe Wana CCM wampokea Stephen Wasira Vwawa, wamama wamtandikia vitenge asiguse vumbi Machi 14, 2025,
Wasira yuko mkoani humo kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu kuanzia Machi 14 hadi 16, 2025.
View attachment 3270032