VIONGOZI na wanachama wa CCM Mkoa wa Songwe wakicheza na kushangilia walipokuwa wakimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira katika Ukumbi wa Kanisani, Vwawa wilayani Mbozi Mkoa Songwe.
Hii nchi tuna raia ambao wanajichukulia hali duni huku wakiwatazama viongozi kama miungu watu 😔 Hawa kina Mama wachukuliqe wapelekwe milembe chap! Changamoto ya afya ya akili