Ajaribu kumpa multi vitamin au dawa za kuongeza appetite. Abadili ratiba ya chakuka. Asubuhi uji, saa nne ampe uji tena au cerelac although si nzuri sana na mchana ampe chakuka kama ana blender akisage kuwe na mchanganyiko na kila siku awe anambadilishia huo mchanganyiko. Mchanganyiko uwe una vyakula vyenye calcium na iron ambazo ni nyama, dagaa, samaki, kuku uchanganye na either rice, ndizi, swet potatoes au irish potatoes, bila kusahau vegetables, pumpkins, nyanya, kitunguu , carrots na mazaga zaga mengine. Jioni umtengenezee machanganyiko wa fruits na uangakie colours za fruits yaani una mix kama.ni watermelon(red) unaweka na avocados na ndizi. Ndizi huwa ni main fruit kwa ajili ya kuongeza ladha na usiweke sukari haya matunda yawe thick na si kama juice. Jioni mpe mchanganyiko kama ule wa mchana na kabla hajalala hakikisha anakunywa maziwa.
Hope utasaidika nilikuwana mjukuu kama huyo nikaletewa hivyo ndio nilimfanyia na aligain weight but inahitaji commitment. Na kama ni mama ake anamlisha basi ajaribu kumpa mtu mwingine baki maana watt huwa na tendency ya kuwadekea mama zao