Wamarekani waingizwa mkenge na udanganyifu wa rescue package ya dola millioni 700.

Wamarekani waingizwa mkenge na udanganyifu wa rescue package ya dola millioni 700.

Tikerra

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Posts
1,702
Reaction score
147
Dunia hii imejaa udanganyifu wa kutisha,uliotyengenezwa na kurembwa vizuri uonekane kama ukweli. Ngoja nikuambie ndugu yangu '99% of what you see and believe is the truth, is actually lies.'Issue' ya Serikali ya Marekani kujifanya inaiomba 'congress' iidhinishe dola millioni700 kama 'rescue package' kwa mashirika yanayokufa ni 'illusion.' Suala la kujiuliza ni kwamba hayo mashirika yanayokufa ni ya nani.Utajikuta kwamba mashirika hayo ni ya hao hao wenye 'Federal Reserve.'Tukumbuke kwamba 'Federal Reserve' sio mali ya walipa kodi wa Marekani kama ilivyo Bank of Tanzania.Ni ya familia kubwa chache kama za akina
Rothschild nakadhalika.Huu ni wizi wa kutisha. Kuliona hili nenda rumourmillnews.com. Sasa kitendawili hiki kinachofanyika ni kama kutoa pesa mfuko huu wa suruali na kupeleka kenye mfuko huu mwingine wa suruali.Ni mchezo wa kuigiza ambao hatima yake ni kuwatumbukiza wamarekani katika dimbwi kubwa la umaskini.Ni mchezo mchafu.
 
Back
Top Bottom