Wamarekani wajitokeza kuandamana dhidi ya wanaoandamana kuunga mikono magaidi wa HAMAS

Wamarekani wajitokeza kuandamana dhidi ya wanaoandamana kuunga mikono magaidi wa HAMAS

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kama mbwai na iwe mbwai, watu wameruhusiwa kuhamia Marekani wanashindwa kuvumilia na kuanzisha choko choko zao kwenye nchi za watu, na bila aibu wanaandamana kuunga mkono magaidi wa HAMAS wenye mlengo wa dini ya kiislamu.
Sasa wenye nchi yao nao wameanza kuingia barabarani......

FFUUUOIMDVPRBB5Q3G327LEN3I.jpg

As the size of the pro-Palestinian encampment at the University of California at Los Angeles expanded in recent days, counter-protesters have become increasingly vocal and visible on the campus, although both sides remained peaceful until Sunday.
That changed when some demonstrators broke through a barrier that the school had set up to separate the two factions, Mary Osako, UCLA's vice chancellor for UCLA strategic communications, said.
Members of both factions shoved one another and shouted slogans and insults, and in some cases traded punches. Pushing and shoving persisted for some time among pockets of demonstrators, but campus police armed with batons eventually separated the sparring groups.
 
Nimekuuliza maana ya ugaidi umenipa Hamas covenant ya 1988.. Nauliza tena ugaidi ni nini
 
Nimekuuliza maana ya ugaidi umenipa Hamas covenant ya 1988.. Nauliza tena ugaidi ni nini

Nimekupa maana ya ugaidi, hayo mavitu ambayo huwa mnafundishwa huko, subiri nikuletee na aya kabisa.
 
Nimekuuliza maana ya ugaidi umenipa Hamas covenant ya 1988.. Nauliza tena ugaidi ni nini
The unlawful use of violence or threats to intimidate or coerce a civilian population or government, with the goal of furthering political, social, religious or ideological objectives.
************************************
Matumizi yasiyo halali ya vurugu au vitisho vya kutisha au kulazimisha raia au serikali, kwa lengo la kuendeleza malengo ya Kisiasa, Kijamii, Kidini au Kiitikadi.
************************************
 
Mauaji ya kikatili dhidi ya raia kwa lengo la kuweka hofu kwenye jamii.
Mfano tukio la kigaidi la Oct 7 2023
Kwahiyo wanaoandamana ni wapalestina tu huko marekani? sijui hizi radio mbao mnazo zikiliza zinatumia betri gani. Dunia inapiga kelele kuhusu cease fire nyinyie mnasame wanashabikia hamas. Unafurahia kutumika kama toilet paper 🧻
Oct 7 wewe unaaona ndio tatizo lilipo anzia. Haya sasa ICC wanatarisha jalada la Netanyahu. Kwahiyo na ICC wanashabikia HAMAS
 
brazaj anzisheni huku muone na sisi tukiingia barabarani

1. Hata Nairobi ulipokuwa umeliamsha hapa:

IMG_20240428_070927.jpg

2. Wapo waliokuwa wamelianzisha, hawataki server kufunguliwa!

3. Si ndiyo demokrasia ndugu? Tunayoyakataa sisi ni haya:

IMG_20240428_070446.jpg

4. Au wewe huoni hovyo mbumbumbu mjuaji?

5. Kumbuka Hilo #4, ni laana!
 
1. Hata Nairobi ulipokuwa umeliamsha hapa:

View attachment 2976782
2. Wapo waliokuwa wamelianzisha, hawataki server kufunguliwa!

3. Si ndiyo demokrasia ndugu? Tunayoyakataa sisi ni haya:

View attachment 2976784

4. Au wewe huoni hovyo mbumbumbu mjuaji?

5. Kumbuka Hilo #4, ni laana!

Wenye nchi yao wamelianzisha, mnapaswa mpigwe popote hata huku....
 
Wenye nchi yao wamelianzisha, mnapaswa mpigwe popote hata huku....
Magaidi washughulikiwe bila hata chembe ya huruma.
Mtu anaishi Marekani halafu anaimba death to America?!
Si Ukichaa huo?!
 
Kwahiyo wanaoandamana ni wapalestina tu huko marekani? sijui hizi radio mbao mnazo zikiliza zinatumia betri gani. Dunia inapiga kelele kuhusu cease fire nyinyie mnasame wanashabikia hamas. Unafurahia kutumika kama toilet paper 🧻
Oct 7 wewe unaaona ndio tatizo lilipo anzia. Haya sasa ICC wanatarisha jalada la Netanyahu. Kwahiyo na ICC wanashabikia HAMAS
ICC wamkamate dikteta Putin kwanza waache unafiki.
 
Back
Top Bottom