Wamarekani wamshukia Hasheem Thabeet

- Ndio maana nilienda shule ili niweze kuzungumza mwenyewe na bila kuogopa U know!!, Super Star Hasheem juzi alikuwa mgeni wa heshima kwenye my Instagram Party pale Mikochen it was koll man to have him there U know!~

Le Mutuz

vp hukumtaftia mbebez mmoja maana na wewe kwa kujichomeka umo. vp zari naskia umekwara pale kwa bilionea mwenzio ha ha ha u know!!!!
 
Ulaya mtu muhimu ni mwanamke. Wanafuata watoto. Baada ya hapo mbwa au paka kama wanaye. Mwanaume wa mwisho. Watamkomba Hasheem hadi tone la mwisho.
Aisee...ya kweli haya?
 
angesifiwa na mmarekani mmoja pia tungefanya conclusion tunayofanya hapa?......
 
Piga dyudyu....kikinuka huko sepa urudi bongo, ila hakikisha unarudi na mkwanja kidogo ujenge, usiishie kuishi sebuleni kwa mtu kama....
 
Dah hiki kiingereza cha 'mmarekani' ni hatari mno. Isije kuwa ni mbongo mwenye fitna tu!

wewe umezoea kiingereza ulichojifunza shule lazima ushangae.....huku kitaa ndio lugha hizo he be exposed...how is u...na vitu kama hivyo
 
Wewe ulikimbia child support USA wala si la kuficha hilo na hakuna anaekuonea wivu...

wewe ndo Una wivu kutwa kupondea wanaoishi majuu...

you are too low!!!

U know mzee wa mabebez ashakua bilionea u know......
 

Mkuu umenena vyema. Kuna baadhi ya vitu anavyoandika lemutuz hata mtoto aliyemaliza shule kata hawezi hata kufanya. Huyu jamaa nina uhakika ni aibu kwa ukoo wake wote


Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile
 
Last edited by a moderator:
Aisee...ya kweli haya?

kweli..watu wanafina wale kama ni kweli hawatamwacha si Tanzania kule..unazaa manzese,mtongani,buguruni halafu unasepa.kule mwanaume akiharibu hasa mweusi wala hakuna kujitetea.ni bora mmbwa au paka anathamani.sijui wale wenzetu wakoje.If its true,itamcost sana.wanaume wasiende kichwakichwa kwa mwanamke aishie kule utabaki unamfanyia kazi yeye anakwenda saloon tu.wanaume waishio USA u should close legs and open those books.
 
mbona kawaida sana labda ugeni wa tamaduni tu ila waafrica umalaya kwetu ni ishara ya urijali na uwanaume kamili
 
Mwacheni aendelee kuingiza tu ovyo ye anadhani wale wamarekani wapuuzi tu!! Soon mtasikia wamempa ka Kesi kaku tia tia mimba ovyo!! Na hapo itakuwa mwanzo wa kurudi na bag Kama alivyo kwenda.

Child support sio muchezo.kuzaa USA ni heri ukubali mtoto uelewane na mama ake ununue vi Nguo na vimatumizi.child support will drain your finances.kama mshahara 600 kwa week 450 serikali inachukua na kupeleka check kwa mtoto.Na ukiwa na mke both wewe na mke wako mtalipa child support mtoto wa nje
 
mbona kawaida sana labda ugeni wa tamaduni tu ila waafrica umalaya kwetu ni ishara ya urijali na uwanaume kamili
Ukileta umalaya child support usiombe watu .wengine washarudi bongo kuhisi watakimbia child support.unafungwa USA usipolipa
 
Child support Kama wewe mshahara wako million moja shillings .serikali unakaa laki 7 kila mwezi mpaka mtoto afike miaka 18.Na huwezi kimbia serikali itakufuatilia usipolipa jela unaenda.
 
mwacheni aendelee kuingiza tu ovyo ye anadhani wale wamarekani wapuuzi tu!! Soon mtasikia wamempa ka kesi kaku tia tia mimba ovyo!! Na hapo itakuwa mwanzo wa kurudi na bag kama alivyo kwenda.
child support.
 
Halafu wabongo wengi sasa Hivi wanalipa child support.ndio maana blacks wanaenda jela wakitoka huko felony kwa hiyo hawapati Kazi .mungu nisaidie yasinikute Haya maana hata WANAWAKE wanalipa child support.hapa nimeolewa nimetulia nisije nikaburuzwa mahakamani bure
 
Du ndio maana Le Mutuz kakimbia maana hela ya kuzoa taka kuwalipia watoto ilikuwa inakata yote mpaka akaanza utapeli wa kuwaleta watu marekani kwa usd 300 ha ha ha ha you know! Hasheem Jipange usije kuwa kama Le Big Show baharia At NYC.
Jiulize Kulikoni wabongo wanafudi?
 

Hahaha kaka le mutuz hi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…