Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Siku tatu tangu maafisa wa Ubalozi wa Marekani kuhamishwa kwa helikopta za jeshi na kupokelewa nchini Saudi Arabia kwa vishada vya maua,wale raia wapatao 16000 wengi wao wakiwa raia pacha wameendelea kuhangaika ili na wao waweze kuihama nchi kuelekea Marekani.
Hata hivyo zoezi hilo limekumbwa na usumbufu mwengine wa kuvamiwa na kuporwa kwa vitu vyao vya thamani kabla kufika waendako.
Hayo yalisemwa na Blinken wakati wa kutoa matamko kwa waandishi wa habari hapo jana.Alisema
"Some of them have encountered problems including, robbery, looting, that kind of thing,"
Mzee mmoja wa miaka 91 raia wa Sudan mwenye ndugu nchini Misri ameelezea ugumu wa kusafiri na kufika kwenye mpaka wa Misri kwani njiani walisimamishwa mara kadhaa na kilichowaokoa ni kwa vile msafara wao ulikuwa na wazee kama yeye na watoto wadogo.