Wamarekani wanataka chama cha Democratic kiteue mtu mwingine na sio Rais Biden

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827

Utafiti kura za maoni ulifanywa na CNN umeonesha 75% ya Wamarekani wanataka chama cha Democratic kiteue mtu mwingine na sio Rais @JoeBiden uchaguzi wa 2024.

Kura imefanyika wakati ambao kukubalika kwa Biden kumezidi kushuka na watu wengi kutoridhishwa na hali ya nchi na uchumi
 
Kitaeleweka tu, ngoja tusubiri maana....
 
Utafiti kura za maoni ulifanywa na CNN umeonesha 75% ya Wamarekani wanataka chama cha Democratic kiteue mtu mwingine na sio Rais @JoeBiden uchaguzi wa 2024.

Kura imefanyika wakati ambao kukubalika kwa Biden kumezidi kushuka na watu wengi kutoridhishwa na hali ya nchi na uchumi
Trump 2024
 
Huyo mzee ndio rais wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya Marekani, udhaifu wake ndio umefanya dikteta Putin aivamie Ukraine eti anaogopa vita vya tatu vya dunia.

Nchi ya Russia iliyojichokea vile ndio isababishe vita vya tatu vya dunia.. 😛 😛
 
Ni muda wa Russia kutoa support kwa Trump arudi madarakani sasa[emoji41]
 
Utafiti kura za maoni ulifanywa na CNN umeonesha 75% ya Wamarekani wanataka chama cha Democratic kiteue mtu mwingine na sio Rais @JoeBiden uchaguzi wa 2024.

Kura imefanyika wakati ambao kukubalika kwa Biden kumezidi kushuka na watu wengi kutoridhishwa na hali ya nchi na uchumi
2024 ni mbali sana,zingetafutwa mbinu za kumuondoa madarakani fasta kabla haja sababisha WW3 kwa maksudi kutokana na ushauri mbaya wa maneocon au by miscalculation ya kuhisi kwamba labda ICBM za Urusi au Uchina au Korea Kaskazini ziko mbioni zanakuja kuishambulia Merikani, baada ya RADA kuonyesha ujio wa ICBM kuelekea major Cities nchini Merikani na wao kufyatua za kwao kuishambulia Urusi au Uchina au Korea Kaskazini in retaliation not knowing kwamba warning za rada ni false alarm kutokana na tatizo la kiufundi kwenye system lakini hakuna ICBM yoyote ya maadui ambayo hiko angani ikija kuishambulia Merikani.
 
Back
Top Bottom