Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili swali naomba aje ajibu aliyekuwa balozi wa 🇨🇦 Canada!.Ccbrt inamilikiwa na nani?
Sasa kwa akili ya kawaida, inawezekanaje nchi yenye Hospitals Bora zaidi Africa, rais apelekwe katika nchi ingine ya Africa ambayo Hospitali zake ni "low quality" ?Mbona hamkumtibu mkulu huko huko kwenu?.., anyway big up.
Bado tuko kwenye stone age, tunabadilishana goroli na almasi. Kama unabisha, je ardhi ya Bagamoyo na mradi wake hatukubadilishana na Wachina kumkomboa mtoto wa mfalme ambaye alikamatwa na mijiunga huko Uchina?Sasa kwa akili ya kawaida, inawezekanaje nchi yenye Hospitals Bora zaidi Africa, rais apelekwe katika nchi ingine ya Africa ambayo Hospitali zake ni "low quality" ?
MK254 nakutakia heri ya mwaka mpya. Je u khali gani? Kama u bukheri wa siha muruwa, hiyo ndio furaha yangu
Bado tuko kwenye stone age, tunabadilishana goroli na almasi. Kama unabisha, je ardhi ya Bagamoyo na mradi wake hatukubadilishana na Wachina kumkomboa mtoto wa mfalme ambaye alikamatwa na mijiunga huko Uchina?
Nivizuri tujikite katika hii mada husika mkuu, hayo unayosema sio kwamba hayana uhusiano na hii mada husika, pia ni maneno ya mtaani ambayo Hana ushahidi wowote ule, Kama upo na ushahidi tafadhali tunaomba uweke hapa hadharani.Bado tuko kwenye stone age, tunabadilishana goroli na almasi. Kama unabisha, je ardhi ya Bagamoyo na mradi wake hatukubadilishana na Wachina kumkomboa mtoto wa mfalme ambaye alikamatwa na mijiunga huko Uchina?

Indeed one of the best hospitals in Tanzania...The only one in Subsahara Africa
Kwani ni nani ninayemzunguzia ambaye wewe unamtetea?Nivizuri tujikite katika hii mada husika mkuu, hayo unayosema sio kwamba hayana uhusiano na hii mada husika, pia ni maneno ya mtaani ambayo Hana ushahidi wowote ule, Kama upo na ushahidi tafadhali tunaomba uweke hapa hadharani.
Yaani tunatia aibuna jana tumetangaziwa M-South Afrika amemuuzia Mtanganyika mgodi ulioko Tanganyika
jinsi tulivyo unevolved Zinjanthropus
![]()
Mkuu, Uzi unazungumzia ubora wa Hospitali za Tanzania, au?Yaani tunatia aibu