Wamarekani waungana na wakenya kusifia Hospitali za Tanzania, wakiri Hospitali za Tanzania zinaongoza Afrika Nzima

Sasa kwa akili ya kawaida, inawezekanaje nchi yenye Hospitals Bora zaidi Africa, rais apelekwe katika nchi ingine ya Africa ambayo Hospitali zake ni "low quality" ?
Bado tuko kwenye stone age, tunabadilishana goroli na almasi. Kama unabisha, je ardhi ya Bagamoyo na mradi wake hatukubadilishana na Wachina kumkomboa mtoto wa mfalme ambaye alikamatwa na mijiunga huko Uchina?
 
MK254 nakutakia heri ya mwaka mpya. Je u khali gani? Kama u bukheri wa siha muruwa, hiyo ndio furaha yangu

Shukrani kaka, niko bukheri wa siha na maumbile, japo sijaelewa nini hiki mnajisifia huku maana hapa nasoma taarifa za Misri wakiipa Tanzania misaada ya madawa na vifaa tiba, na mara ya mwisho kuangalia Misri ilikua Afrika, nakosa kuelewa nchi yenye hospitali bora Afrika izungushe kibakuli cha kuomba madawa na vifaa tiba wa taifa la Kiafrika ambalo mnadai kulishinda kwa ubora wa hospitali, hehehe ujuha bana, haya hongereni
Tanzania receives drugs and medical supplies worth 864m/- from Egypt
 
Bado tuko kwenye stone age, tunabadilishana goroli na almasi. Kama unabisha, je ardhi ya Bagamoyo na mradi wake hatukubadilishana na Wachina kumkomboa mtoto wa mfalme ambaye alikamatwa na mijiunga huko Uchina?

na jana tumetangaziwa M-South Afrika amemuuzia Mtanganyika mgodi ulioko Tanganyika

jinsi tulivyo unevolved Zinjanthropus

Bado tuko kwenye stone age, tunabadilishana goroli na almasi. Kama unabisha, je ardhi ya Bagamoyo na mradi wake hatukubadilishana na Wachina kumkomboa mtoto wa mfalme ambaye alikamatwa na mijiunga huko Uchina?
Nivizuri tujikite katika hii mada husika mkuu, hayo unayosema sio kwamba hayana uhusiano na hii mada husika, pia ni maneno ya mtaani ambayo Hana ushahidi wowote ule, Kama upo na ushahidi tafadhali tunaomba uweke hapa hadharani.
 
Kwani ni nani ninayemzunguzia ambaye wewe unamtetea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…