Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kwani nilipotoka nje ya mada ukanifuata? Tena ukataka na ushahidi ili twende nje zaidi ya mada?Mkuu, Uzi unazungumzia ubora wa Hospitali za Tanzania, au?
NimekuelewaKwani nilipotoka nje ya mada ukanifuata? Tena ukataka na ushahidi ili twende nje zaidi ya mada?
Huku Tanzania kuna mijitu ya hovyo kabisa kazi kusifia tu hata upumbavu ukifanyika, wao husifia tu, ili mradi tu upumbavu uwe wa kijani na njano.Shukrani kaka, niko bukheri wa siha na maumbile, japo sijaelewa nini hiki mnajisifia huku maana hapa nasoma taarifa za Misri wakiipa Tanzania misaada ya madawa na vifaa tiba, na mara ya mwisho kuangalia Misri ilikua Afrika, nakosa kuelewa nchi yenye hospitali bora Afrika izungushe kibakuli cha kuomba madawa na vifaa tiba wa taifa la Kiafrika ambalo mnadai kulishinda kwa ubora wa hospitali, hehehe ujuha bana, haya hongereni
Tanzania receives drugs and medical supplies worth 864m/- from Egypt
Hahahaha, tumekusikia na tumekuelewa pia[emoji23][emoji23][emoji23]Huku Tanzania kuna mijitu ya hovyo kabisa kazi kusifia tu hata upumbavu ukifanyika, wao husifia tu, ili mradi tu upumbavu uwe wa kijani na njano.
Huku mfumo wa afya ni mbovu, huduma mbovu.
Manesi kuzaba vibao kina mama wajawazito wakati wa kujifungua ni jambo la kawaida sana.
Madaktari kulewa wakiwa kazini ni kitu ambacho mpaka kimekuwa ni kinapendwa na wagonjwa, mgonjwa akiona daktari hajalewa, anaanza kuwa na mashaka kama ataweza kweli kumtibu vyema. Wanaamini daktari akiwa ameutwika, anaweza kuliona tatizo alilonalo mgonjwa kwa macho, yaani hata bila vipimo
Mbona huyo nyani umesahau kumvisha ushungi mwekundu[emoji3061][emoji3061]na jana tumetangaziwa M-South Afrika amemuuzia Mtanganyika mgodi ulioko Tanganyika
jinsi tulivyo unevolved Zinjanthropus