Sasa kama imehifadhiwa kwenye nyoyo za waja wa marehemu Muhammad mbona wanalalamika kwamba karatasi zimechomwa? Kilicho muhimu ni karatasi au iliyohifadhiwa kwenye nyoyo, kama kweli imehifadhiwa?
Hello M Joka,
MAXIMUM Respct to You Mkuu.
Kwa ulichoandika hapo juu, You made me so proud brother.
SALUTE
Angalia katika kanuni za sheria ya makosa kama ya jinai,huu ni mfano tu wanasema:Sheytwain aliwalazimisha kubaka, au kuua, au kufanya unyama? Si, unafanya kwa hiyari yako? Sasa vipi umtupie lawama Sheytwain, wakati mbakaji ni bin adam?
Kama wazo lili toka kwa Sheytwain, na wewe ukalikubari, sasa hapo ni nani mwenye kosa? Sheytwain au aliye consent na ku-execute wazo?
Angalia katika kanuni za sheria ya makosa kama ya jinai,huu ni mfano tu wanasema:
Actus non facit reum nisi mens sit rea.
Si kitendo kinachomfanya mtu kuwa na hatia ya tendo ovu...bali dhamira ya dhati au nia ovu ya kufanya uovu...shurti iambatane na tendo lenyewe.
Mtu kama yeye, anashiriki katika tendo ovu (Actus reus) na sehemu ya nia ovu( Mens reus) ni shetani anaichochea au kushawishi mtu kupitia nafsi yake na ndo maana hatia inabaki kwa mtekelezaji kwa tendo na nia.
the devil is,as a matter of fact, an assessory after the fact...that also its suffice to assert his accomplice.Wherefore, why should you condemn the devil while he is already judged, inter-alia, the executors who knowingly and consciously executed the proposed act of evil without remedy?