Tetesi: Wamasai wa Tanzania wajitolea Ngombe 1700 kuwapa Wakenya kufidia Ngombe Waliopigwa Mnada na Serikali

Tetesi: Wamasai wa Tanzania wajitolea Ngombe 1700 kuwapa Wakenya kufidia Ngombe Waliopigwa Mnada na Serikali

a3970fea50033c653b0806961ab47045.jpg
 
Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu
You would rather know, before hand, how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
 
You would rather know how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
Hakuna cha mafua ya ndege wala nini, ni ubabe tu.
 
Nawapongeza Sana Rafiki zangu Wamasai kwa Umoja wao waliyoonyesha wa Kujitolea Ng'ombe 1700 kuwarudishia Wenzao wa Kenya Ng'ombe zilizokuwa zimepigwa Mnada.Vil
Reliable source please.
Na wawaambie wachunge ngombe zao huko huko kwao.
Masuala ya jamii ni moja msituletee hapa.
Mipaka iheshimiwe.
 
You would rather know how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
Kenya Kuna outbreak ya bird flu?
 
Kwa umoja huu tutarajie kushuhudia jamii nyingi zinazoishi nchi tofauti wakiwa na asili moja wakizidi kusaidiana.
 
Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
unadhani wamasai wanajua hiyo mimi mtanzania wewe mkenya?mmasai nimmasai tu haijalishi yu atokea wapi,hapo wanaona msiba ni wao wote
 
Back
Top Bottom