Wamasai wafupi wanaongezeka

Wamasai wafupi wanaongezeka

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Yani ile dhana ya wamasai walefu inaenda kupotea, nadhani wanafanya interbreeding, au huku pwani hawanywi maziwa.

Yani unakutana na mmasai kafupi mwenye hadhi ya kuitwa mbilikimo kabisa, ukiachana na shuka zao, huwezi watofautisha
 
Lakini wamasai sizani kama wameanza kujichanganya na makabila?!

Sana sana huku Handeni nawaona wakioa wazungu ambao ni warefu pia.
 
Back
Top Bottom