Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Mpango sio kuwaondoa kwa nguvu na kuleta wawekezaji. Ni lazima waambiwe consequenses za kuendelea kuwa wengi kuliko wanyama na hatma yake.tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?mbuga zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la wamasai kwa kipindi kijacho?
je,ni ipi njia salama ya kuitunza ngorongoro?
sawaHuna akili
Mbuga zenu?π€π₯ΊππΏββ Kuwapa Wamasai hifadhi!?π€tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?mbuga zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la wamasai kwa kipindi kijacho?

Watatoka tu kisayansi. Sema mara hii waliokuwa front hawakuwa makini. Ngorongoro itakapokufa bado SERIKALI hiyo hiyo ITALAUMIWA sana na WANAHARAKATI hawa hawa.tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?mbuga zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la wamasai kwa kipindi kijacho?
je,ni ipi njia salama ya kuitunza ngorongoro?
ningeomba unijibu kwa unavyojua wewe.Jifunze hata kutumia Google wewe msomi uchwara...
Kuna matini mengi tu ambayo yangekupatia majibu juu ya maswali yako ya kil.o.fa.
Kwani kabla ya hapa walikua hawazaliani?ningeomba unijibu kwa unavyojua wewe.
hifadhi,mkuu ila effect yake ndiyo naihoji hapa,tanzania kwa sasa tupo wachache sana.Mbuga zenu?π€π₯ΊππΏββ Kuwapa Wamasai hifadhi!?π€
kwamba wanyama ni bora kuliko wamasai?tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?mbuga zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la wamasai kwa kipindi kijacho?
je,ni ipi njia salama ya kuitunza ngorongoro?