Wamasai wametumika kama jaribio, tunaofuatia ni Jamii zinazoishi karibu na milima, mbuga, misitu na vivutio vingine

Wamasai wametumika kama jaribio, tunaofuatia ni Jamii zinazoishi karibu na milima, mbuga, misitu na vivutio vingine

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
1724504606756.png


Kama mnavyojua nchi yetu ina vivutio vingi sana na jamii zimeishi karibu na au kwenye maeneo hayo tangu kale, kero kubwa imekuwa ni kwa askari game ranger, wamisitu na vivutio lakini nahofia huko mbele tutaondolewa kabisa.

Wamasai wametumika kama jaribio.

Ni kweli tumesikia huduma zimerejeshwa lakini tusisahau mwanzoni zilisimamishwa na hata kuzirejesha inaweza kuwa temporary kwa muda mfupi (appeasement politics)

Pia soma>> Issue si kusitisha zoezi la kuwahamisha wamasai Ngorongoro, Issue ni je motive behind kuwahamisha ameisitisha?
 
Back
Top Bottom