Wamasai ni wazalendo, na masomo ya kiraia wametupa:
"Ilikuwa Ngorongoro, tukayasikia Loliondo."
Kwa hakika hawa hata kama wangekuwa Gaza, Mossad wangenyoosha mikono.
Haipo shaka hawa ndugu wanaipenda nchi yao kuliko wapalestina!
Wangekuwa chama, wasingeibiwa kura na katiba waitakayo ingekuwapo kwa terms zao!
Kwa hakika aliyepiga marufuku vyama vya kikabila, hatukujua; kumbe alikuwa kawaona hawa.
Nani kama wamasai?