Naunga mkono hoja, hata sisi watu wa Kanda ya Ziwa wale pure breed, ombayo ni superior breed tuko na misimamo kama Wamasai, sio unamuona Mpina!.Wamasai ni wazalendo, na masomo ya kiraia wametupa:
"Ilikuwa Ngorongoro, tukayasikia Loliondo."
Kwa hakika hawa hata kama wangekuwa Gaza, Mossad wangenyoosha mikono.
Haipo shaka hawa ndugu wanaipenda nchi yao kuliko wapalestina!
Wangekuwa chama, wasingeibiwa kura na katiba waitakayo ingekuwapo kwa terms zao!
Kwa hakika aliyepiga marufuku vyama vya kikabila, hatukujua; kumbe alikuwa kawaona hawa.
Nani kama wamasai?
Naunga mkono hoja, hata sisi watu wa Kanda ya Ziwa wale pure breed, ombayo ni superior breed tuko na misimamo kama Wamasai, sio unamuona Mpina!.
Ila kutokana na intermarriages, ile pure breed inakuwa contaminated na inferior breed ndio matokeo ya wengi wa waliopo sasa.
P
Naunga mkono hoja ila nimezungumzia pure breed, Wamasai wana maintain uasili, Wasukuma too much contamination kutokana na ule ugonjwa wa Mfalme Suleiman, kila mahali wanaparamia tuu!.Compare and contrast, ukweli usemwe. Si kwa ubaya.
Mkuu wamasai ni specie nyingine huko kuna utawala rasmi, ambako mtu hafanyi tu atakalo bali mila na desturi kuzingatiwa.
Umasaini kiboko chake hakina mzaha bila kujali umri, si kama cha usukumani.
Haipo shaka upagani wa mmasai ni conc. zaidi kuliko usukumani.
Usukumani wamewazidi wamasai hasa kwenye ujinga na ushirikina.
Mmasai hachezwi shere popote, hata iwe bongo Darisalama.
Wamasai babalao, ingekuwa umasai ni chama wengine wengi tu, tunge subscribe huko.
Naunga mkono hoja ila nimezungumzia pure breed, Wamasai wana maintain uasili, Wasukuma too much contamination kutokana na ule ugonjwa wa Mfalme Suleiman, kila mahali wanaparamia tuu!.
P