Wambura hakujua anapambana na nani saizi muda si mrefu ataanza kujuta

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Ukweli mchungu Karia ana asilimia kubwa ya kushinda ,kila la heri Ally - JamiiForums

Michael Richard Wambura alikuwa hajui anapambana na nguvu gani.Kipindi cha uchaguzi nilitamani sana Ally Mayay ashinde na wapenda soka wote walitamani iwe hivyo lkn niliandika uzi humu 90% atashinda karia kwa kishindo licha ya kutaka Ally awe rais wa Tff kwakuwa ni mtu wa mpira.

Wallace Karia ana nguvu mno ndio maana alishinda uchaguzi kwa 95% kwa kishindo nyuma yake kuna nguvu kubwa.

Yeye ndiye aliyesababisha Malinzi na wenzie wawe wanakula ugali na maharage wa jela hadi hivi sasa na baada ya kazi hio akazawadiwa urais .

Michael wambura aidha kwa kutojua akataka alete bifu na figisufigisu na mtu huyu mzito mwenye outer na inner power kubwa.Kabla ya kumvaa adui au mpinzani wako kwanza fahamu nguvu na back up yake

Saizi Wambura katangaza kuachana na soka na TAKUKURU wamemgongea mlango na ashaanza kusumbuliwa na kufuatiliwa tusije kushangaa mwisho wake ukawa kama wa akina Malinzi na Mwesigwa akaishia kula ugali wa bure


Usishindane na pandikizi wa system na kibaraka wa utawala utapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya matukio ndiyo ile jeuri ya Karia kumtukana TL. Haikuwa bure.
 

AVUNE ALICHOPANDAAA
 
NI NGUMU LAKN SALAMA

KAMA UNA UNDUGU NAE MSHAURINI KAMA N BIASHARA AACHE USIA MAPEMA NANI ASIMAMIE ASHIKE HELA ZAKE

HALI SIO MPAKA WAMEMFIKISHA KUNAKO HALISI SALAMA.. NAJUA ANAVUNA ALICHOPANDA WALIIDHARAU TFF WAKAIICHEZEA KAMA CHUMBA CHA WAGENI

KWA MDAHUU HAKUNA ALIECHAFUA TFF AKABAKI SALAMA AJIANDAE TU...
 
Haya matukio ndiyo ile jeuri ya Karia kumtukana TL. Haikuwa bure.
Uzuri safari hii hajamess na Chadema, amejichanganya kwa FIFA akichomoka huko akatambike. FIFA hawanaga pigo za kuunga mkono juhudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…