Wameamua

cash sio tatizo coz anani shauri nifungue kampuni alafu nimwambie nahitaji nini!na ameniunganisha na watu mbali mbali kwenye makampuni ya kuuza bidhaa ulimwenguni....nayeye ni mfanya biashara na mbunifu wa mavadhi
We utafanywa punda (mule) wa kubeba madawa ya kulevya. Utapata vipesa vya kukuzuzua, Utakamatwa, utafungwa na hatimaye utasota. Toka mapema. Kwani huyo mtu anayekuahidi kukupa umaarufu yeye ni maarufu kiasi gani? Ongeza na za kwako.
 
Jestina,

utakutana na majini Bure na wala hizo njemba usizione

Take care
 
haya mambo ya kutongozana kwenye mitandao end of the day unajikuta umetongozwa na jini
 
mwana nipe link mimi nautaka huo utajiri unaoukataa wewe! ni inbox contact zake
 
mwana nipe link mimi nautaka huo utajiri unaoukataa wewe! ni inbox contact zake

Mh!! mkuu we mkare!! ......
kweli naanza kuamini ule msemo usemao "ukisema chanini, mwenzio anasema ........"
MP
 
Da asanten sana nawashukuru sana kwani nimeenda kutoa taarifa kituo cha polisi wamechukua maelezo tayari....wakiendelea tuu nachukua hatua kali za kisheria
 
kwani unashindwa nini kuachana nae au na wewe unataka kua Pedeshee 666,kama huna haja nae badili number yako ya cm
mchezo umeisha la kakuonjesha pesa na wewe imekukolea hapo ndio itakua shidaa,lakini kama umeweka kwenye akili yako umaskini jadi wala hakusumbui na haina shida kuamua...
 
Nenda kwa wakubwa wa dini yako wakakuombee, ni pepo hilo na unavojua shetani huwa hakati tamaa
 
Shekhe Yahya angekuwepo angekuambia maana ya hiyo tatuu bahati mbaya ametangulia jaribu kwenda kwenye kaburi lake anaweza kukusaidia... au nenda katavi kwa mpinda kuna mkali waganga wakali.... wa hayo mambo.. kama vipi mtengeneze abaki hapahapa uzidi kumtumbua
 

tuambie ni vitu gani hivo kijana.....
 
Nime mbrock kwenye my page ya fb na kumrepoti......na my 4n no# nimebadilisha ila ananipigia kupitia office namba hata simu za kazi naogopa kupokea jamani naacha kazi coz anajua wapi nafanya kazi na contact zote za office.
 
Unaomba nasaha, lakini tatizo lako unalieleza kwa kufichaficha. Unataka tukushauri kwa kubahatisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…