kijana mmoja alinigusa sana leo. Alipoteza kadi yake ya kupigia kura jana, alikuja pale Nkrumah/seminar rooms na passport yake na alihifadhi namba ya kitambulisho chake kwenye simu.
Alijitahidi sana kuongea na wasimamizi lakini walisema haiwezekani.
Kilichonigusa ni yeye kutokubali kirahisi na akaamua kutafuta njia mbadala. Hayo mengine ni matokeo