KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Dec 3, 2010 #1 Mtandao wa Goal.com umechemsha vibaya baada ya kusema kuwa Claude Makelele ni kipa , wakati ukweli halisi mchezaji huyo ni kiungo Claude Makélélé - Wikipedia, the free encyclopedia Attachments wamechemsha.JPG 147.2 KB · Views: 99
Mtandao wa Goal.com umechemsha vibaya baada ya kusema kuwa Claude Makelele ni kipa , wakati ukweli halisi mchezaji huyo ni kiungo Claude Makélélé - Wikipedia, the free encyclopedia
Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,219 Reaction score 4,608 Dec 3, 2010 #2 Nlidhani haya mambo yapo huku Uswahili kwetu tu ambako tunaitwa watu tusio m akini, kumbe hata ughaibuni wanachemsha ehhh
Nlidhani haya mambo yapo huku Uswahili kwetu tu ambako tunaitwa watu tusio m akini, kumbe hata ughaibuni wanachemsha ehhh
TUNTEMEKE JF-Expert Member Joined Jun 15, 2009 Posts 4,587 Reaction score 580 Dec 3, 2010 #3 Mtandao ya Wachina nini
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 6, 2010 #4 Hii ni balaa
Vawulence JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 1,930 Reaction score 2,118 Dec 6, 2010 #5 duh! Au amekaa mno benchi?