Wameikosea nini pombe hawa watu wa SINGIDA

Wameikosea nini pombe hawa watu wa SINGIDA

Generetaion Z

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2022
Posts
343
Reaction score
874
Ninajuiliza na kuwauliza wakuu

Watu wa singinda hasa warangi yani hawaendani na pombe kabisa yani hata akanywa basi pombe itampeleka katika kuanzisha ugomvi

Wengi nimewaona hawaziwezi pombe hata kidogo, pia ukiwauliza wanakwambia haramu,ila huyo huyo anaekwambia pombe haramu anakula mirungi kama maini,

Wameikosea nini pombe hawa watu mpka inawakataa kiasi hiki ,pombe ni realme
 
Warangi ni wa kondoa mkoani dodoma, wa singida ni wanyaturu na wanyiramba. Ila wapo kidogo kwa shughuli za kibiashara za maduka, wengi wao wapo soko kuu. Watu wa singida ni wanyaturu na wanyiramba ndio wengi
 
Oohh mi najuwaga ni wasingida kumbee
 
Usiombe uende sehemu ukae na watu wawili wanaojua kilugha chao
Yaani kabila lolote tu
 
Kwel kabxaa...hata wanyaturu ndo zao...yupo mmoja hapa yani akilewa ile anarud saa sita usiku anafungulia mzik saut ya juu mpk asubuhi....tulimuweka kikao mwenye nyumba ikabid amtimue maana ilikuwa ni kero
 
Warangi wanaume wote wana fuse moja ndogo kichwani ina kata network wote wanafanana tabia zao, washamba sana, ila ukipata mademu wao wenye wesere si mchezo, sema elimu imewapita kando sana hawa jamaa
 
Binti wa kunyaturu ukimwambia njoo unipikie anakuja na nguo za kubadilisha hata km hujamtongoza
 
Back
Top Bottom