Elections 2010 Wamekwisha anza kujikomba

Elections 2010 Wamekwisha anza kujikomba

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
"No.6 Joseph Mbilinyi a.k.a Mr.2 Sugu asieogopa kuongea ukweli popote hata kama kuna hatari ya moto na mabomu, Tunahitaji Spirit zaidi za aina hii. Hatimaye muziki wa Tanzania utapata wa kuutetea, tumesota saana, wengine wanafurahia"
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

We ladyjay Dee kama kweli uko real si ungeweka kambi Mbeya na bendi yako kumsapoti?
Nimejaribu ku-search japo picha moja ya kampeni yake sijaiona kwe blog yako.

Acha unafiki tafadhali.
 
Back
Top Bottom