Wamenikomesha tena kwenye hii semista ya tano

SWAZ

Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
64
Reaction score
24
Jaman wana JF kuna mateso ninayopata katka kupata hii elimu yangu yan kila mwaka mpya wa masomo unapoanza huwa jina langu harirudi kwa ajili yakuonyesha loans allocation mpaka nipambane sana mwaka jana kipind kama hichi nilipata shida kwa miezi takriban mitatu nadaiwa kodi ya nyumba hela yakula sina naishi kwa kuomba omba baada ya mateso yakusoma kwa kushinda na njaa nikapata msamaria mwema ambae ana mtu wake anae anamfam pale loans board ambae hata cmfaham akanisaidia nikapa mkopa wangu kwa mwaka jana .Mwaka huu ntapata nan tena wakunipa msaada???!!! .mbya zaidi nina mzaz m1 wakike ambae hana chochote chakuweza kunisaidia kweny hasa kweny suala la tution fee na kod ya nyumba kwani huwa nategemea hela ya meals and accomodation kwa ajil yakulipa yan leo baada yakuangalia nakukuta jna langu halipo tena nmekata tamaa kabsa yakusoma nakunyong'onyea kabsa ,,,sina nani wala nan ni mm one man army hzi semista mbili nlizobakza ntazipeleka vp,,,mana mwaka huu nasikia tunaweza tukatoka holaa kabsa. wazee weny nyumba vpnd hiv huwa wanakuwa wakali wakijua kuna first year wamekuja kama. huna hela bora uondke!!!Yani nahic kukata tamaa kabsaaa...bodi mna bifu na mm na mkopo nmeupdate kabsa na kop ninayo....Cna pakuanzia kwakweli!!!
 
daah pole sana kamanda.. nakuelewa sana najua mchakamchaka si wewe wengi sana wanapitia kipindi kigumu sana
kumaliza vyuo vikuu kwa sasa kwa hili janga la MIKOPO imekuwa ni balaa tu...naona umekata tamaa sana ila jipe moyo... na hakika utashinda haya mapito mimi binafsi ningrprnda kujua unasoma kozi gani na uko chuo gani na mwaka jana huo jamaa alitumia vigezo gani kukupa mkopo.. na sasa ndio umeanza mchakato wakuanza kupambana na BODI au ndio unatafakari...nini cha kufanya..?
 
Kaka mm nipo mwaka wa tatu eductn chuo cha Tumaini makumira mwaka wakwanza mkpo wangu ulikuja vzur ila mwaka wa pl ndo umenitesa nkjua labda mwaka huu itakuwa sawaa yamekuwa yale yale
 
Pole sana, inasikitisha sana kaka. Mungu yupo pia atafanya yake! Pamoja lakini.
 
pole sana,ungekuwa udsm nngekusaidia kodi ya nyumba tungekaa pamoja geto
 
Una shida moja kubwa, unachoma madaraja. Huyo aliekusaidia mwaka jana ulipopata hela ukapotea mazima! Sasa hata pozi la kumrudia hauna. Jifunze hapo.

Pili badala ya kulalama, jumatatu amkia huko loan board. Kajieleze na ufuate maelekezo kama ninkuandika barua ama vipi. Usitegemee sana kubebwa, kapambane.
 
fanya hivyo ufike hapo na vielelezo vyote ukomae nao
 
Unajua jambo kama halijakufka unaweza muona mtu mzembe kuwa hawez kufkri ila nway...nashukuru kwa ushauri wako mkuu ila lile halikuwa daraja lakudumu.
 
Back
Top Bottom