Wamepokea vipi nyimbo za Diamond platnumz wakati kisiwa cha Mayotte wanazungumza kifaransa?

Wamepokea vipi nyimbo za Diamond platnumz wakati kisiwa cha Mayotte wanazungumza kifaransa?

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
c568e9466380b6a1ac739f6e3501ce5d.jpg
 
Kwani zile nyimbo za nachi zilizokuwa zinavuma tulizielewaje kwani... Vipi kuhusu cabo snoop... Vipi kuhusu wenge musica... Wenge BCBG ....
 
wakina Koffi Olomide walivyokuwa wanakula hela zetu miaka ile wakija bongo walikuwa wanaimba kwa kindengereko!?!

Acha mahaba ya namna hiyo mkuu...kwenye mziki kuna lugha moja tu kama ilivyo football
Kama umeufunga uzi huu vile!
 
MAYOTTE ndo nchi gani, kuuliza si ujinga
Mayotte ni kisiwa ndani ya bahari ya hindi, wakazi wa kisiwa hiki walikataa kuwa chini ya utawala wa mwafrica, wakaamua kuwa chini ya utawala wa ufaransa. Kwa hiyo ukienda Mayotte, mambo yote ni Ufaransa. Ni karibu sana na Commoro, kama nimekosea mnisamehe.
 
kwani vikota vya wahindi unavijua?
 
Mayotte ni kisiwa ndani ya bahari ya hindi, wakazi wa kisiwa hiki walikataa kuwa chini ya utawala wa mwafrica, wakaamua kuwa chini ya utawala wa ufaransa. Kwa hiyo ukienda Mayotte, mambo yote ni Ufaransa. Ni karibu sana na Commoro, kama nimekosea mnisamehe.
kilinunuliwa na ufaransa
 
Mwanaume mzima unaweka hash tag ya "mashauzi yamempata mshauaji" kweli hawa ndo wanaopumuliwa[emoji15] [emoji15]
 
Mleta mada mbona nyimbo za kizaire unacheza kwani unaelewa? Koffi Olomide alikuwa anajaza White Sands enzi zile, wote wali walikuwa wanaongea Kizairwaa?
 
Kweli nimeamini africa mnahaki ya kuwa maskini kulingana na ujinga wa uwezo wenu wa kufikiri!
Swali lako ni la kishari Fulani iv so jamaa kaksoma vizuri akakujibu ambayo ulikuwa hutegemei ndo maana umepanic
 
Back
Top Bottom