Jamal naeem
Member
- Jan 10, 2014
- 72
- 20
namba 6 huyo katoa ngoma yake kali tu kamshirikisha pro jay..tena kali tu kama hujaisikia bas we ndo walewale blauz efu hemi. namba nane anakula zake bata tu kwa obama hataki stress za kishe,.nzi za kina ru gay..Mbona kimya sana kuhusu hawa watu, wenye taarifa zao atwambie maana tunawakumbuka sana.
1. Snoop lee
2. Mabaga fresh
3. Rich one
4. sister P
5. Zay B
6. Suma G
7. Rado
8. Balozi
9. Pauline Zongo
Rado mtafute kwenye vijiwe vya wala unga
Namba moja anavua pweza na uduvi pale Tanga Kunani..its so sad ukimuona
huyo muhuni yupo mwanza na wala hali powder ila bangi nyingi misimamo mikali korea kaskazini wanasubiri
ok mdau tayari nishapata ngoma mpya ya Suma G halafu niombe radhi mm si blauz fmnamba 6 huyo katoa ngoma yake kali tu kamshirikisha pro jay..tena kali tu kama hujaisikia bas we ndo walewale blauz efu hemi. namba nane anakula zake bata tu kwa obama hataki stress za kishe,.nzi za kina ru gay..
sawa mkuu..nikutake radhi kwa hilo!​ok mdau tayari nishapata ngoma mpya ya Suma G halafu niombe radhi mm si blauz fm
mbele giza..! hater!Wamefia underground.. Walishindwa kutoka, and were chocked thereunder
mbele giza..! hater!
upuuzi!!Hahaaa.. Utakuwa sista p wewe
Pokeza kijiti
upuuzi!!