Wamesahaulika kwenye Siasa: Sadifa, Nape, January, Mwigulu, Kafulila na Mtatiro

Wamesahaulika kwenye Siasa: Sadifa, Nape, January, Mwigulu, Kafulila na Mtatiro

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hawa nyakati kama hizi mnamo mwaka 2015 walikuwa watu mashuhuri sana kwenye siasa za kuelekea uchaguzi hapa nchini.

Lakini kwa sasa wamekuwa kimya mno kama vile wameshastaafu siasa na huyu Sadifa aka pushapu ya mkono mmoja ndio kabisa hajulikani yuko wapi maana hata jimbo lake pale Unguja ni kama mtaa tu lakini haonekani.

Nini kimewatuliza vijana hawa machachari akina aka tumbili na wenzie?

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
 
johnthebaptist, Kweli CCM kuna unafiki wa ngazi ya Phd,Pamoja na Kafulila kuunga mkono juhudi bado unamwita Tumbili? Au ndio ule mliochukizwa na wahamiaji kuula ndani ya ccm wafia chama kusota? Kafulila ni RAS mkoa wa Songwe anapiga Pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wavamizi ndiyo wanaonekana kuwa na nguvu katika chama....!! Wanashinda CDM jioni wanakurudi kulala CCM afu wanapewa msofi mboga saba, kitanda safi, Blanketi safi na neti juu..... huku wenyeji wakilalia uji wa bila sukari.....jamani maisha haya.
 
Back
Top Bottom