inawezekana ikawa tayari ila usikate tamaa mdau, kwa taarifa za uhakika ni kwamba TRA kuna uhaba mkubwa wa wafanyakazi kwa sasa hii ya kutangaza nafasi chache2 ni kutokana na fungu la kuajiri kutolewa kwa awamu kutokana na ukata unayoikumba serikali yetu kwa wakati huu,watatangaza nafasi nyingine soon vuta subira