Sijui mwamba raraa reree π€£ππππ Oyaa mwana shilingi ngapi hiyo?
Kwa jinsi hiyo chupa ilivyo bei haivuki bukuSijui mwamba raraa reree π€£
Wale jamaa hawa achi pesa ata ukiwaambia una jero watafanya tuu namna πNi kama vile vidawa wanavyopitisha mtaani kanauzwa buku ila kana tibu kila aina ya ugonjwa π€£π€£π€£
πππππMy kantri pipoView attachment 3157176
Huyu ni Mtanzania mwenzetu sanaππ