makaomakuu
Member
- Nov 17, 2010
- 46
- 4
Mkuu usiwaze sana kuajiriwa,embu fikiri na ww kuajiri,
Mkuu usiwaze sana kuajiriwa,embu fikiri na ww kuajiri,
mkuu usiwaze sana kuajiriwa,embu fikiri na ww kuajiri,
ndo mtasanda sana mnaosubiria ajira halafu mixa sio wa kishua...kama huna la kuwashauri wenzako ni bora urudi home ukacheze kidalimpoo na ubavu wako
i mean barafu wa maisha yako..
Mkuu usiwaze sana kuajiriwa,embu fikiri na ww kuajiri,
ndo mtasanda sana mnaosubiria ajira halafu mixa sio wa kishua...
sioo wakishua dizain medium hivi but am against lazy thinkers who only think of being employed as a way of making a living...try to think out of the box kuna oppoetunities nying sana tanzania watu hawajui....tuwe wa kishua??hovyooo