Elections 2010 Wameshindwa miaka 25 wataweza miaka 5?


Miaka 25 walikuwa waweka mipango tuu? Kweli Hawa jamaa kiboko.
Mipango hata iwe miziri kiasi gani, Kama hakuna usimamizi Wa utendaji ni kazi bure..
Hata iwe imeandikwa Kwa mwandiko Wa kurembwa na kupewa majina matamu Kwa kutamkwa.
 
Ukiwa umekunywa maji ya bendera ya kijani lazima ufikilie kumpa JK another 5 years of messing arround with our resources

Tanzania is going to be very prosperous in the next 5 years. We're almost getting there.
Vote CCM
 
Hawataweza kabisaaa.
Ukiona watu wanatumia dola 15,000 kwa masaa matano kugharimia ndege ya serikali (kwa mujibu wa jambazi Kinana) ili First lady asafiri nchi nzima kumpigia mme wake kampeni wakati wanawake kibao wamejazana kwenye sakafu za zahanati ya Temeke, basi ujue kuwa watu hao hawana hisia kabisaa.

CCM hawatafanya chochote kile kubadili hali ya nchi yetu. Kama wangekuwa na nia hiyo, wangeanza kuonesha mfano kipindi hiki cha kampeni. Kikwete anaamini kuwa atashinda kwa kishindo, kama hii ni kweli, kwa nini atumia mabilioni yote haya kupiga kampeni?
 
Believe me, with the incompetent JK at the wheels, Tanzania will be no where near joining the G-30. Only corruption and theft will rule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…