JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Kwa habari za chini ya kapeti kabisa ni kwamba waliandaa budget ya Miliini 700 Kuhamisha watu Ngongoro na Loliondo. Pesa nyingi imeshatumika tayari na zoezi limesitishwa na human rights.
Kama ni kweli haya maamuzi yameleta hasara kubwa sana.
Huyo muwekezaji wa kiarabu atakubari kweli? Au nae adai chake?
Kama ni kweli haya maamuzi yameleta hasara kubwa sana.
Huyo muwekezaji wa kiarabu atakubari kweli? Au nae adai chake?