Wapi amesema hili mkuu?Ni kweli tuliandaa hicho kiasi cha pesa...lakini tumeamua tugawane tufanye mambo yetu tutajaribu ku compersate bajeti ijayo....in mwigulu nchemba 's voice....
Kuna mahali nilisoma luwa familia zilizopo huko Ngorongoro na Loliondo zinazotarajiwa kuhama ni 22,000 lakini waliokwisha hama ni familia 747.
Kama habari hizo ni kweli, basi ni wazi zoezi litazamwe upya
Tangu lini mwarabu akamvimbia beberu!!!! Lisu Baki huko huko huko pigia nje ya 18.Kwa habari za chini ya kapeti kabisa ni kwamba waliandaa budget ya Miliini 700 Kuhamisha watu Ngongoro na Loliondo. Pesa nyingi imeshatumika tayari na zoezi limesitishwa na human rights...
Ngoja watakuja Masai wa humu kuthibitishaSource pls...