Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Walilala kwa amani kabisa. Kukiwa hakuna shida yoyote.. Wakajua wakiamka wataendelea na mishe zao za maisha ya kila siku mpaka pale watakapokufa.
Kwa vile wanajua wazi upendeleo uliopo kwenye mashauri mbali mbali wamekuwa makini sana kutojihusisha na jinai yoyote ile.
Lakini bila kutegemea wameamka wakiwa wameangushiwa jumba bovu sasa wanatafutwa wakajibu mashtaka yanayowakabili.. Kwa kihoro cha kupelekwa mbele ya pilato asiye na ukweli wote wamekimbia wamejificha kusikojulikana wakiziacha familia zao zinateseka na kiu mawazo na njaa.