Wamiliki mbwa mijini huwa wanawapeleka wapi wanapozeeka?

Wamiliki mbwa mijini huwa wanawapeleka wapi wanapozeeka?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Wamiliki mbwa hasa wa mjini wanaofuga mbwa kama pets au kwa ajili ya ulinzi ndani ya mageti katika nyumba zao huwa wanawapeleka wapi hao mbwa wanapozeeka?

Huwa sioni mbwa wazee katika nyumba za watu!
 
1000018213.jpg
 
Wastani wa kuishi kwa mbwa ni miaka 10 mpaka 13.Na wale wakubwa sana miaka 7 mpaka 10.Hivyo wanazeeka na kufa.
 
Soko lako kubwa lilikuwepo pale maeneo ya Sayansi kama unaelekea Rose garden mikocheni

Kuna wachina pale walikuwa wananunua haswa

Sijui kwa sasa kama bado wapo
 
Wamiliki mbwa hasa wa mjini wanaofuga mbwa kama pets au kwa ajili ya ulinzi ndani ya mageti katika nyumba zao huwa wanawapeleka wapi hao mbwa wanapozeeka?

Huwa sioni mbwa wazee katika nyumba za watu!
Anyway mimi sifugi mbwa ila nafahamu kama ifuatavyo
  1. Wengi wenye mbwa hukaa nao mpaka umauti unapowafika na kisha huwasitiri kwenye mashamba yao
  2. Baadhi ya maeneo 👇 sikiliza hapo nisiwasemee na kama uko Dar nenda Ilala Boma ukapate tafsiri
View attachment AUD-20150505-WA0001.m4a
 
Back
Top Bottom