Wamiliki na madereva wa pikipiki (bodaboda), bajaji, daladala njooni tuambizane changamoto tunazokutana nazo

Phdum

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
1,322
Reaction score
3,278
Wakuu,

Kama unamiliki bodaboda, bajaji na daladala, karibu tujadili changamoto tunazopata kutoka kwa watu tuliowaamini na kuwakabidhi vyombo wasimamie.

Pia kama wewe umewahi kuwa dereva au ni dereva na umekabidhiwa chombo njoo tujadili changamoto tunazokumbana nazo kutoka kwa mabosi.

Nakumbuka kuna kipindi niliwahi kumpa kijana bodaboda, mwanzoni alikuwa analeta kipande vizuri sana, ila baada ya miezi 3 akawa anapitiliza hadi siku 3 akija kuleta analeta ya siku moja, na maneno kibao. Ikabidi niiuze tu maana nilihisi nimenunua ugonjwa.
 
Hakuna watu wanaopata hela nzuri kama Bodaboda hesabu kwa siku elf 10.. Wao wanapga hela mpaka 50 per day ila nachoshangaa bdo ni maskni.. Weng wao hawajitambui.. Hii kazi inapesa ioneni tu
 
Samahani tunahitaji kujua changamoto sio faida alafu hamna bodaboda hesabu 10000 labda iwe ya mkataba
Hakuna watu wanaopata hela nzuri kama Bodaboda hesabu kwa siku elf 10.. Wao wanapga hela mpaka 50 per day ila nachoshangaa bdo ni maskni.. Weng wao hawajitambui.. Hii kazi inapesa ioneni tu
 
Changamoto ni uaminifu tu ,, hawa madereva wengi wanakua Ni tatizo kwa wamiliki,, ila ukipata mtu muaminifu ni biashara nzur sna

Back
Top Bottom