wamiliki St Joseph University ni Mafia

Acha siasa, piga kitabu. Kulalamika hakutakusaidia.

Huo ndio ukweli someni wanafunzi,we mwache aendelee kupiga kelele wenzake wanasoma wanamaliza wanakuja makazini
 
Acha uzushi na kuharibu umma nani kapewa GPA ya 5 taja jina lake au register namba.
Tofauti na hapo don't spoil the university.
 


What do you discuss?

1. Great minds discuss ideas
2. Average minds discuss events
3. Small minds discuss people and stupidity...
 
Moja ya chuo ambacho kitaleta technological change na changamoto kwa vyuo hapa nchini ni St. Joseph they are smart believe me...

Unaposema vyuo vya technolojia hapa nchini St. Joseph first then DIT.
mambo mengine mnayoyibua naona umbeya wa Kitanzania na umaskini wa mawazo....
no research no right to talk.
 
huo ndio ukweli someni wanafunzi,we mwache aendelee kupiga kelele wenzake wanasoma wanamaliza wanakuja makazini

nyie acheni hoja butu kana kwamba hamkuenda shule,sa atasomaje na analala njaa,hana maji wala malazi? Kama huna hoja usije na hoja kama za kikwete hapa wenzako wanateseka ka kuomba ushauri we ndo ***** kuliko hata masista wa st.joseph
 
Acheni ubutu wa mawazo,kwa tz akuna chuo bora kuliko vingine,kwani st.joseph university nao wanchukua watu waliopafom kawaida form 6,na udsm nao wanachukua wengi waliopafom atleast good from form 6,so matokeo mazuri ni bidii ya mwanafunzi wenyewe.acheni kuadaa watu
 
Lipa kwanza pesa yao,then wakikunyima pesa ya field njoo tukusaidie.St Joseph ni chuo ambacho product zake zinauzika na mi binafsi nawakubali kianina.Title ya thread uliyotumia kidogo haija.....
 
mtoa mada ni kilaza sana inawezekana amekwenda kusoma pale kwa nia ya kupata pesa na si elimu. soma kwa bidii uepuke sup. nawakilisha
 
nyie acheni hoja butu kana kwamba hamkuenda shule,sa atasomaje na analala njaa,hana maji wala malazi? Kama huna hoja usije na hoja kama za kikwete hapa wenzako wanateseka ka kuomba ushauri we ndo ***** kuliko hata masista wa st.joseph

Pole mdogo wangu,nakushauri usiwe una comment kama huna cha kuongea...rejea vizuri hoja yake ndio uchangie!BE A GREAT THINKER,so ni yeye tu anayekosa ela ya kula huko chuoni kwenu?Kingine HAKUOMBA USHAURI....
Kingingine USITUKANE WATU TOA HOJA.
 
Atakuaje competent wakati teyari anasoma kwenye hicho chuo alichoita cha vilaza?

acha kupumbazika kirahisi hivyo wewe! kaenda huko kufanya nini kama ni chuo cha VILAZA. Angali nchi hii vyuo vya science/engineering ni vingi(CoET,SUA,DIT, MIST,atc).
 

Pole kwa Supp soma kijana acha kulalama...halafu title na habari kulia kushoto sasa kwa kichwa cha namna hii utafaulu kweli?? Kama hutaki kutozwa hela za Supp si usome ili usisupp??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…