Biashara za aina hii zina changamoto zake;mara nyingi wakati wa kufunguliwa kwa biashara za namna hii
wateja hua wanamimi nika kama mvua lakini baada ya muda wateja huanza kupotea mmoja baada ya mwingine.
Kikubwa hapa ni kwamba wateja wengi hupenda kubadilisha mazingira,wateja wa sehemu kama hizi hua hawapendi kukaa sehemu moja kwa muda mrefu.Ndiyo maana unaweza ukakuta ndani ya siku moja mteja anaweza akatembelea bar zaidi ya tatu hadi tano,na huko kute anakunywa bia hiyo hiyo ambako hata aliko toka ilikuepo.
Hivyo tunaona kuwa wateja wa aina za huduma zetu hizi si wakaaji wa muda mrefu katika eneo moja.Hupenda vitu vipya kila mara.
Wengi katika kukabiliana na hili huwa wanajitahidi Kubadilisha wahudumu na kuleta wapya,pia kutoa ofa mbalimbali kwa wateja wao.
Lakini ikumbukwe kuwa hata kama utayafanya yote hayo lakini wale unao wafanyia wakawa wateja walewale walio kuzoea impact yake bado huwa ni ndogo,hapa namaana kuwa ni vizuri kutafuta na kuongeza wateja wapya ambao wanapatikana katika maeneo ya jirani na ofisi yako ilipo.
Unapo kuwa na wateja wapya mara kwa mara unakua na uhakika wa soko kwa sababu kabla wateja hawa wapya hawajalichoka eneo lako unakuwa umepata wateja wengine wapya.
Mfumo au namna ya kupata wateja hawa wapya ndiyo unaoleta changamoto.Ambapo ndio tunataka tulizungumzie kw aundani.
Mfumo mwingine mzuri unao weza kukupatia wateja ukiacha na ule wa kubadilisha wahudumu wapya ni kama ifuatavyo
Andaa bonus na offer mbalimbali ambazo zitakua na utofauti kidog😵fa hizi zipatikane kwa kuchagua watu kadhaa kutoka katika kundi kubwa la watu walio jisajili kugombania ofaa hii.Kwa kua ofa hii inakua ni kubwa kidogo huwezi ukawapa wateja wote ndiyo maana inakubidi uwachague wateja wachache kati ya wale walio jisajili kuigombania ofa hiyo.
Mfano.Unaweza ukatoa bia tatu bure kwa wateja watano kila weekend,Wateja hawa watano wanakua wamepatikana kwa bahati nasibu maalumu,ambapo wateja kutoka maeneo tofauti tofauti wa wa wilaya ambayo ofisi yako ipo wanajisajili kupitia simu zao mfano mtandao huu unafanya kazi hiyo bonyeza HAPA.
Ambapo wadau wanajisajili bure kwa kuweka namba zao za simu na mahali alipo,ili namba yake ikitokeza katika namba zilizo shinda atapigiwa simu na kukaribishwa katika ofisi husika iliyo toa promotion hiyo au offa hiyo na kufurahia ushindi wake.
Hivyo katika mchakato huu watachaguliwa washindi ambao kati yao watakuwepo ambao hata hawajawahi kuwa wateja wa ofisi yako,lakini kwakuwa wameshinda kwa mara ya kwanza watakuja katika ofisi yako.Hivyo kutokana na huduma atakazo pewa hapo zinaweza zikawavutia wakaendelea kuwa wateja wako hata siku za mbeleni,kw asababu ni watu wanaopatikana katika maeneo ambayo ofisi yako ipo.
Unaweza ukawa unatangaza ofaa na bonus mbali mbali kila wakati unapo weza ili kuwakalibisha wateja wapya.kupitia mfumo huu.
Mtandao huu unatafuta wadau wake kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii,ambapo ofa maalumu ikitangazwa wadau hujisajili,baada ya muda wa kujisajili ukiisha,mfumo wa computer hutafuta washindi husika kulingana na idadi ulio ichagua.washindi hawa hupigiwa simu nakupewa taarifa ya mwaliko wa kuja katika ofisi yako kufurahia offa walizo shinda n.k.
Pia faida nyingine ya mfumo huu ni kwamba inatunza kumbukumbu za mawasiliano ya wadau,wote ambao huwa wanashiriki mashindano haya hivyo hata kama siku katika ofisi yako kuna tamasha au tukio lolote ni rahisi kuwatumia ujumbe hawa wadau kupitia mfumo wa sms ambapo hata kama wateja wapo 2000,mfumo wetu wa computer utawatumia sms wote kwa pamoja na kwa mara moja,hivyo taarifa zako zitakua zimefika kwa watu husika hasa wadau wa huduma yako.
Kwasababu katika ofa moja ikitangazwa tunawza kupokea wadau zaidi ya elfu moja.
Hivyo njia ya ofa na kutoa bonus mbalimbali ni muhimu kuifanya huduma yako au ofisi yako ikaendelea kubakia katika kumbukumbu za wadau bila kusahaulika.Pia wakati ofa yako ipo katika trend taarifa nyingine muhimu za ofisi yako pia hutangazwa katika page hiyo unaweza kuona HAPA.
Hii husaidia kuitangaza biashara yako hata kwa wale ambao hawata bahatika kushinda tayari watajua mengi kuhusu ofisi yako,na labda ipo siku watataka kuja kuitembelea.
Kama utapenda kutangaza ofa zako na bonus zako tukutafutie washindi unaweza kutembele HAPA
pia tunatamani kupata mialiko mbalimbali ya kuitambulisha mfumo huu kwa wadau.Hivyo wenye mabaa,pub na lounge mbalimbali mtukalibishe tuje tuwaelekeze watu namna ya kujisajili katika mfumo wetu.