Mmeshindwaje trick ndogo ya kututeka.funga WiFi hata tatu hapo bar mtu uzidi kukaa ukiendelea kula life bar yako itajza maana hata maofisini siku hizi hatutoki kwa sababu hio dunia ya sasa videos/reels ndo kila kitu.

Mimi naona hiyo itasababisha Mapato ya Bar kushuka sana.
Maana utajikuta unapata wateja fake wasio na pesa. Mtu anakuja kununua Maji anaomba glass anakaa hapo masaa 6 kisa WiFi