Mugabe Jr
Senior Member
- Aug 19, 2020
- 160
- 287
Niko Mwanza Dereva muaminifu, nina leseni pia naomba kama kuna mmiliki wa daladala (hiace) tufanye kazi ndugu zangu. Uwa nafanya day worker baadhi ya madereva uwa wananiachia gari mara moja moja.
Hivyo naomba kama kuna mtu ana hiace (daladala) tufanye kazi ndugu zangu.
Au kwa yoyote mwenye connection ya kunisaidia kupata gari (daladala) mkoani mwanza anishike mkono waungwana. Nisaidieni ndugu zangu.