Wamiliki wa gari namba D tupeane ushirikiano

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
Bila shaka mko poa,

Kufuatia mapokezi ya mgeni mjini usajili wa namba "E" kuna wamiliki wa namba za nyuma hususani "D" ambao kwa namna moja au nyengine mngependa kuuza gari zenu kwa ajili ya kuhamia namba "E" au kwa sababu tofauti.

Nitawatafutia wateja wa gari husika kutokana na network ya watu muhimu na pool ya wateja ambao niko nao. Cha kufanya utanitumia gari yako na wasifu wake privately kupitia namba ambayo ntaiweka hapo mwishoni. Nitaitaftia mhitaji na kufanikisha kui liquidate haraka. Angalizo bei iwe reasonable isio ya tamaa sana.

Contacts:
0746968020
 
Bro ninakukubaligi sana.
Ninakutakia mema.
Pili usipoweka tamaa mbele...una green future.
Ni mimi mdau wako
 

Namba D? Namba E? Hivi kweli nchi hii ina vilaza wa kutupwa? Toka lini hizo herufi E na D zikawa namba? Ulisoma shule ya St Kayumba ya tarafa na kata gani? Ufaulu wako wa masomo ulikuwaje?
 
Namba D? Namba E? Hivi kweli nchi hii ina vilaza wa kutupwa? Toka lini hizo herufi E na D zikawa namba? Ulisoma shule ya St Kayumba ya tarafa na kata gani? Ufaulu wako wa masomo ulikuwaje?
Tulia we boya, nafikiri dhima za lugha hukujifunza vizuri! Rejea kwenye mantiki ya lugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…