JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamesahau kumalizia '…kwa mstuko na majonzi makubwa …blaaaa blaaaa …tunaahidi kuwachukulia hatua waliohusika na hitilafu hii …'MFUKO wa hifadhi ya jamii umepokea taarifa.[emoji16]
MFUKO wa hifadhi ya jamii umepokea taarifa.[emoji16]
Hela ya wazi hiiWahusika waache politics, huu ni uzembe mkubwa umefanyika hapa, lift haiwezi kufunga mlango kama imezidiwa uzito, sue them big time
Itoshe kusema mtu mweusi ni mzembe, mwehu naasiyejielrwq ndo mana mpaka leo tunakufa na kipindupindu