Wamiliki wa Jengo la Millenium Towers, PSSSF watoa tamko baada ya lift kushuka ghafla na kujeruhi Watu 7

Kumbe imeshuka ghafla…mie nilidhani imeporomoka au kuanguka

Nimekumbuka ile Taarifa ya kifo kusema chanzo ni kusimama kwa moyo wa Marehemu …

Chanzo cha kujikwaa ni kuanguka au chanzo cha kuanguka ni kujikwaa?

Alie karibu na Afisa Habari wa Tanesco amkumbushe asisahau kutoa Press release ya Tanesco kusema hawahusiki na hitilafu hii haraka iwezekanavyo kama walivyofanya uwanja wa Taifa na Bungeni hivi karibuni qqq
 
Wahusika waache politics, huu ni uzembe mkubwa umefanyika hapa, lift haiwezi kufunga mlango kama imezidiwa uzito, sue them big time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…