Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Nimejaribu kuangalia hilo lakini nimegundua gharama za kufanya promotion bidhaa za wateja ni kubwa kuliko mapato wanayopata sababu ukiangalia hapo kwa makadilio wanayotumia kwa siku ni zaidi ya dollar 50Kuna matangazo yapo kwenye kundi la premium ambapo wewe muweka bidhaa unalipia kuweka tangazo lako, pia kwenye website zao kuna advertisement za kampuni mbalimbali ambapo hizo kampuni hulipia matangazo yao kuwekwa
Mimi kwa mwez tu nilikuwa nawalipa 270,000 kila mwezi. Na sio mm pekee nna washakji zangu zaid ya 10. Hao ni wachache nnaowajua. Kuna watu zaid ya 100 wanalipa kama sisi upande wa zoom tanzania. Hapo hujaweka matangazo ya Google na mashirika.Nimejaribu kuangalia hilo lakini nimegundua gharama za kufanya promotion bidhaa za wateja ni kubwa kuliko mapato wanayopata sababu ukiangalia hapo kwa makadilio wanayotumia kwa siku ni zaidi ya dollar 50
Watumiaji wanaotangaza bidhaa zao premium kuna matangazo kumi mwezi mzima bei ni elfu 30
sijui matangazo ya google wanaingiza kiasi gani