peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Nilisikiliza BBC siku fulani wamiliki wa Malori Kenya walikuwa wakilia baada ya ujio wa SGR huko, hii inatokana na wafanyabishara wengi kutuma njia ya reli kusafirisha mizigo yao kwa sababu ya bei na usalama zaidi.
TRC imetangaza ujio wa treni kutoka Dar kwenda Moshi tena kwa kipindi ambacho Ubungo inakuwa na walanguzi wengi sana na nauli hupanda kutoka 20,000 hadi 50,000 (tena bei unatajiwa kwa jeuri).
Wamiliki wa mabasi jipangeni baadaye msije kulilia serikali kuwa hakuna wateja sababu ya ujio wa treni. Bora muweke bei za kueleweka na kila msafiri.
Unaweza kupanda basi ndani ya basi kuna aliyelipa 40, 50 na hata 30. Pia kibaya zaidi unaweza kukosa basi ikakubidi upande Coster au Eicher.
Nauli hizi hapa kwa treni madaraja yote
Hapa sijajua safari inaanza saa ngapi na kufika Moshi itachukua siku ngapi.
Labda treni ndio inayoweza kosa wateja.Sijamaanisha watakosa wateja ila wawe na mbinu za kushawishi abiri,maana upinzani tayari umekuja
Duniani serikali haijawahi kupata hasara na ikipata hasara utailipa wewe hiyo hasara kypitia kulipa kodi kwa biashara unayoifanya wewe.kwa kuweka sawa, siku yeyote ukiona biashara unayoifanya na serikali, mtu binafsi ikimbie hiyo biashara Kama ukoma,hutaiweza.ovaLabda treni ndio inayoweza kosa wateja.
Siku zote biashara zinaendeshwa na serikali zinaendeshwa kwa ovyo
Sana sana serikali wanachoweza fanya ni Kuwalundikia makodi watu wa malori ili kuwakatisha tamaa wasiendele na biashara za usafirishaji.
Ndomana hata kwenye project ya mwendokasi ilibidi kwanza wafute route ya dala dala za kawaida ili wafanye biashara vizuri
Warudishe route ya kimara_kariakoo_posta
Waone kama hata iyo mwendokasi haitajiendesha kwa hasara
Labda treni ndio inayoweza kosa wateja.
Siku zote biashara zinaendeshwa na serikali zinaendeshwa kwa ovyo
Sana sana serikali wanachoweza fanya ni Kuwalundikia makodi watu wa malori ili kuwakatisha tamaa wasiendele na biashara za usafirishaji.
Ndomana hata kwenye project ya mwendokasi ilibidi kwanza wafute route ya dala dala za kawaida ili wafanye biashara vizuri
Warudishe route ya kimara_kariakoo_posta
Waone kama hata iyo mwendokasi haitajiendesha kwa hasara
mikopo yenye masharti nafuu yenye thamani ya Dola za Marekani Bilioni 1 (sawa na shilingi Trilioni 2.778) hapa nchini na hivi sasa inakamilisha taratibu za kutoa mikopo mingine yenye thamani ya Dola za Marekani Milioni 500 (sawa na shilingi Trilioni 1 na Bilioni 389) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.Duniani serikali haijawahi kupata hasara na ikipata hasara utailipa wewe hiyo hasara kypitia kulipa kodi kwa biashara unayoifanya wewe.kwa kuweka sawa, siku yeyote ukiona biashara unayoifanya na serikali, mtu binafsi ikimbie hiyo biashara Kama ukoma,hutaiweza.ova
Moshi rombo ni 4500Hakuna athari yeyote kwa wenye mabasi kumbuka inaishia mosho mjin watakaonufaika ni wa pale mjin anaekaa rombo haitaji tren . Gharama ya kupanda tren kwa anaishi rombo ni kubwa sana mfan dar to Moshimjin kwa tren 23500 kutoka moshi had rombo 10000 ,na naulo ya dar to rombo 30000 huon treni ghali sana.
Secpnd class ni watu sita kila chumba.Kulala ni watu wawili au?
Hapo wamezingua, kuwe na ya watu wawili, au kuna 1st class?Secpnd class ni watu sita kila chumba.
Kumbuka pian treni ni salama zaido kuliko basiKuna mdau hapo juu kasema dar -kigoma ni siku3 wakati kwa basi si zaidi ya masaa 18 kama ni kweli basi shirika la reli ndio lijipange na sio wamiliki wa mabasi...ata kama hyo tren itakua na kumbi za starehe ndani bado siwezi kupoteza mda wangu njiani.
Train ilisharekebishwa na imeanza kazi kitambo kama miezi miwili sasa inasafirisha mizigoKweli nimeona treni za mizigo toka Dar hadi Moshi. Ila naomba yafuatayo:
Tusifanye haraka sana bila kuthibitisha usalama wa hiyo reli. Imekaa muda mrefu bila matunzo.
Tukianza, naomba iwe hata kila siku au wiki mara 4 ili hao mabeberu walioiua wakose pa kupumulia
Usafiri ukifika salama hata mara 4 tu tiyari Ubungo watauzia nyanya mle ndani
Hongera awamu ya tano. Wamethubutu nao wataweza tu
Kama wesha ifanyia test za kutosha kuhusu usalama wa abiria nashauri waweke kasafari ka promotion waone watu watalichukuliajeTrain ilisharekebishwa na imeanza kazi kitambo kama miezi miwili sasa inasafirisha mizigo
Hili jibu limenifurahisha sanaMnaanzaga kwa mbwembwee, mwishowe kila siku matangazo ya kusitisha safari za treni!
Masikini kwa roho mbaya hatujamboKila dhambi ina malipo yake, waliihujumu reli wakajineemesha sasa inarudi kuwalipa sawia na matendo yao
Sio tamaa ni sheria ya uchumi,uhitaji ukiwa mkubwa zaidi ya uwepo wa bidhaa au huduma bei inapanda tu. So relax au nunua basi lako na wewe ikifika decemba pandisha nauli au kama wewe ndio abiria nunua gari lako unapoenda moshi unabeba na abiria wa liftWatu wa mabasi wengi washenzi tu natamani zije nyingi, ushenzi wao ni kipindi cha sikukuu hasa December wanapandisha nauli maradufu ili kukomoa watu.
This time naombea hiyo treni ufanikiwe kuanza safari maana wenye mabasi watakoma, nauli itabaki ile ile ya siku zote waache kukomoa watu kwa tamaa zao
Alisikika mlevi mmojaWafanyabiasha wa Kanda ya kaskazini huwa wanajifanya Wana vichwavigumu kwenye kufanya biashara.ila kwa hili la train ya dar Moshi yafuatayo yatatokea.
1. Ubungo wapigabede wataanza kuwa wazururaji na vibaka kuongezeka dar.
2. Hotel zilizopangwa barabarani korogwe na mombo kufungwa na watu kukosa ajira, na huwa wanauza vyakula bei ya juu nahawana customer care hata kidogo.
3. Mabank kutakuweko na kilio kwa marejesho yatapungua 75% kwa waliokuwa wamekopea kununua mabasi Tena kwa gharama kubwa.
4.Moshi vibaku kuongezeka kwa Kasi kubwakutokana na wapigadebe kukosa kipato.
5.watu au wafanyabiasha wenye mabasi mabovu kuhama mjini.
6. Mabasi mengi kuanza route za vijijini ambako walisahauka.
7. Ajali za mabasi kupungua.
Ongezea chako
Haha Mkuu kuwa serious kidogo Unadhani hiyo mwendokasiKama wesha ifanyia test za kutosha kuhusu usalama wa abiria nashauri waweke kasafari ka promotion waone watu watalichukuliaje
Inategemea na umri wako ila tuliowahi kulipanda "gogo" la miaka hiyo, kweli treni ina raha yake. Ukiwa na senti zako za kula taratiibu, hata Honey moon waweza kwenda naye huko huko kwa treni first class na hatasahau kamweHaha Mkuu kuwa serious kidogo Unadhani hiyo mwendokasi